⚠️ Takwimu za kihistoria tu — Si ushauri wa kuweka dau — Cheza kwa uangalifu
Leo 🔥
Kesho
Rekodi 📊
Mkeka 🧮
Rekodi Yetu — Tunaijenga Wazi
Inapakia…
Ahadi yetu: Kila Mwelekeo unarekodiwa hadharani kabla ya mechi — sahihi au kosa, matokeo yanaingia kwenye Rekodi baada ya mechi. Ukweli kwanza.
❓ Hujawahi kutumia Takwimu? Soma hapa kwanza▼
Takwimu ni nini?
Tunachambua takwimu za mechi — magoli, fomu, historia — kisha tunakuonyesha
kile takwimu zinaelekeza. Si utabiri wa uhakika; ni hesabu.
Jinsi ya kusoma kadi ya mechi:
• Fomu (U S K) — matokeo ya mechi 5 za mwisho.
U = ushindi, S = sare, K = kushindwa. Ya kushoto ni ya karibuni.
• Ishara 1/5 hadi 5/5 — jinsi takwimu zinavyokubaliana.
5/5 = takwimu nyingi zinaelekeza upande mmoja. 1/5 = hazikubaliani.
• Nafasi (%) — kati ya mechi 100 zinazofanana, tunatarajia
hili litokee mara ngapi. Si uhakika.
• Mambo yanayopinga — sababu ambazo zinaweza kutufanya
tukosee. Tunazionyesha kwa makusudi.
Kwa nini tunaonyesha makosa yetu?
Kwa sababu rekodi halisi ndio uthibitisho. Angalia ukurasa wa Rekodi —
utaona mechi tulizopata sahihi na tulizokosea.
Kumbuka: uamuzi wa mwisho ni wako. Cheza kwa kiasi unachoweza kumudu
kupoteza. Kwa watu wa miaka 18+ pekee.
Mechi za Leo
…
⏳ Inapakia mechi za leo…
Mechi za Kesho
…
⏳ Inapakia…
Rekodi Yetu — Kweli
⏳ Inapakia rekodi…
Jenga Mkeka Wako
…
⏳ Inapakia…
Ingia Takwimu
Tumia akaunti yako ya Google — bure na haraka
Hatuoni nenosiri lako. Google pekee ndio inathibitisha.
Fungua Uchambuzi
Mwelekeo + Sababu 3 + Mambo Yanayopinga + Masoko 18
Mechi Moja
500
TSh
Mechi Zote Leo
1,500
TSh
✓ Akiba
INGIZA NAMBARI YA SIMU
📱
Angalia simu yako — thibitisha kwa PIN
Tunasubiri uthibitisho…
Mitandao inayopokelewa: Mixx by Yas · HaloPesa · Airtel Money
Malipo salama kupitia ClickPesa. Uchambuzi ni wa takwimu tu — si ushauri wa kuweka dau.